Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habarini Wanajamvi.
Kuna members wenzetu ambao wamepotea kwa kipindi kirefu hawajaonekana kwenye jamvi.
Kupotea huko kunafanya tu-miss hekima zao,ucheshi wao, vituko vyao na hata karaha zao.
Sasa tuwataje members hao ambao wameadimika haswa humu Jamvini.
yerico nyerere
Nikupe shilingi ngapi uache kuandika upuuzi humu jf?
Mzee wa kutumika
Yericko si wanasema yuko mikononi mwa polisi.
............duHuyu nimemficha mie ila soon nitamuachia arudi hewani
............du
Unaguna nini?........lol
najaribu ku-imagine alivyokonda...maana kufichwa huku unatumika ni kazi eti!
babu uvone soni!! ethi kindu chedi hicho wehirie!Mh mh mh....!!!! Waheshimiwa nipo nilikuwa kwenye kampeni za kugombea udiwani lakini kura hazikutosha