JF members and their respective Copyrights

1. Kuna bingwa wa historia mzee Mohamed Said akikujibu lazima aanze jina lako kisha anaandika reply.

2. Kuna Lovie Lady yee vingedere na kutumbua macho.

3. Kuna mkongwe Mrangi mzee wa OVA.
Man Rody πŸ€—πŸ€—πŸ€—
Hapo kwenye kutumbua macho sasaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‹πŸ‘‹
 
Yaani unaweza kutambua majina yao bila kurefer kwenye ID zao kwa sababu wamezoa kuwasilisha hoja zao katika mbinu maalum ambazo Ni exceptional.[emoji1752]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…