JF members in Mwanza

JF members in Mwanza

Diason David

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2018
Posts
7,557
Reaction score
7,367
Habari ndugu, jamaa na wapendwa

Nimekuja Mwanza kidogo, lengo la theard nilikuwa naomba kufahamiana na baadhi ya members humu, tufahamiane baada ya kuishi na fake identification sawa

Nipo maeneo ya Mkolani Kati. Karibu sana kwa wanahitiji tuonane. Nipo leo na kesho narudi nilipo toka.
 
Hilo jiji mwaka huu Mungu akipenda lazima nilione hata kwa matembezi.
Maisha mafupi sana haya.
 
Mwanza mimi nakaa kidogo kiharakati ila nipazuri kuishipo karibu sana kikubwa ukiwa na uhusiano mzuri na wenyeji utaishi vizuri tu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ni pazuri kuishipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We jamaa inaonekana ni wa kanda ya ziwa huko huko tena inaonekana ni wa kanda maalumu ya kipolisi rorya
 
Mkuu huku nipo kiarakati
 
Back
Top Bottom