JF members in Mwanza

JF members in Mwanza

Habari ndugu, jamaa na wapendwa

Nimekuja Mwanza kidogo, lengo la theard nilikuwa naomba kufahamiana na baadhi ya members humu, tufahamiane baada ya kuishi na fake identification sawa

Nipo maeneo ya Mkolani Kati. Karibu sana kwa wanahitiji tuonane. Nipo leo na kesho narudi nilipo toka.
Nimesafiri kuja Arusha..kama ni Mkolani nenda hata hapo Mamizi kapate moja baridi moja moto
 
Nimesafiri kuja Arusha..kama ni Mkolani nenda hata hapo Mamizi kapate moja baridi moja moto
Asante sana mkuu hiyo huwa situmii Mimi yangu juisi soda Maji na maziwa fresh vipo
 
Back
Top Bottom