Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,367
Mwanza mimi nakaa kidogo kiharakati ila nipazuri kuishipo karibu sana kikubwa ukiwa na uhusiano mzuri na wenyeji utaishi vizuri tuNawish kufika/kuishi Mwanza siku moja,sijawahi hata kukatiza maeneo hayo
Mwanza mimi nakaa kidogo kiharakati ila nipazuri kuishipo karibu sana kikubwa ukiwa na uhusiano mzuri utaishi vizuri tu
Nawish kufika/kuishi Mwanza siku moja,sijawahi hata kukatiza maeneo hayo
Okay no problem lest do!lets plan for a trip, iβll pay each and everthing
Mwanza mimi nakaa kidogo kiharakati ila nipazuri kuishipo karibu sana kikubwa ukiwa na uhusiano mzuri na wenyeji utaishi vizuri tu
Amina mkuu lina raha ya aina yake bhana hadi biteko ex minister amejenga huku sio mchezo.Hilo jiji mwaka huu Mungu akipenda lazima nilione hata kwa matembezi.
Maisha mafupi sana haya.
Mkuu huku nipo kiarakati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ni pazuri kuishipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We jamaa inaonekana ni wa kanda ya ziwa huko huko tena inaonekana ni wa kanda maalumu ya kipolisi rorya
Na nani mkuu?!Umetumwa????
lets plan for a trip, iβll pay each and everthing
Lini tupange?
πππ acha tuππππ umemfokea!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemfokea!