JF members tunafahamiana?

Mimi nafahamiana na baadhi,na wamegeuka marafiki zangu wakubwa sana.
Nawapenda mnooo,kwanza wakarimu,wanajielewa sijui nisemeje.
Wengine huwa nataniana nao humu na kupeana kejeli ila tukitoka hapa ni marafiki wazuri sana.
Na kubwa zaidi hata bae ni wa hukuhuku JF,hihihihiiiiii
Long live JF.
 
Ilikuaje Mkuu?
Acha tu ushamba mzigo mkuu wangu

Nakumbuka siku ya1 kupewa appointment kufika kwenye kikao cha JF members kwanza nikawa na kimuhemuhe,siku hiyo nikaona kama muda haufiki vile

Halafu nikawa najuaga hawa JF wanaishi sayari gani sijui,siku hiyo ilipokaribia mida nikawa kila mara natupia macho eneo la tukio bahati nzuri ni jirani na home. Kila anae ingia najiuliza ndo mmojawapo nini nikawa nabishana na mawazo yangu
 
Tatizo walio wengi wanatumia Id feki tht's why hatufahamiani. but wangekuwa wanatumia majina yao halisi kama mimi tungefahamiana zaidi coz mimi natumiana jina langu, na wengi hunifahamu kutokana na jina
 
Kweli long live JF imekua kampan yangu kubwa mno,imenipatia marafiki wazuri wastarabu na wenye busara wengine tumekua kama familia sasa.

Mazuri tunayopata humu ni mengi kuliko mabaya kwakweli
 
Kweli long live JF imekua kampan yangu kubwa mno,imenipatia marafiki wazuri wastarabu na wenye busara wengine tumekua kama familia sasa.

Mazuri tunayopata humu ni mengi kuliko mabaya kwakweli
Yani mimi kama sio JF sijui maisha yangu yamekuwaje.
Subiri nisiseme sana,ipo siku nitakuja na uzi kuhusu hili mtabaki midomo wazi.
Nawapenda sana mabeste zangu kutoka JF,ni zaidi ya marafiki.

Kubwa huku ni kuwa makini na watu wa kufahamiana nao,katika hili nimefanikiwa kwa 90%!
 
Duh namjua Bitoz tu
[emoji102] [emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Aise hebu usichelewe na huo Uzi bibie,ulete kesho basi lol
 
Hahahaaa..... Hongera Mkuu kwa kujuana nao, kwangu sina hata mmoja ninaemjua zaidi ya jamaa mmoja hivi majuzi kanitumia video whatsapp ndo nikapata kuiona hata sura yake.
 
Hahahaaa..... Hongera Mkuu kwa kujuana nao, kwangu sina hata mmoja ninaemjua zaidi ya jamaa mmoja hivi majuzi kanitumia video whatsapp ndo nikapata kuiona hata sura yake.
Usijali mbona utawaona wengi tu! Mpaka utaona ni kawaida mkuu wangu,mradi umakini tu.
 
Aise hebu usichelewe na huo Uzi bibie,ulete kesho basi lol
Hhahahahahaaa wewe nae unapenda umbea?
Usijali,yapo mengi sana na kuandaa hiyo thread inaweza kuchukua mwaka m1-2!!!!

Siwezi kukudanganya kama rubii aliyetudanganya na thread yake ya kufungia mwaka hewa!
 
Napenda sana story mwenzio... He hee mtu asiniahidi story mana nitakavomsumbua mpaka kero

We Rubi[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…