Mzee wa Torano
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 519
- 700
mie mpk wengine nimewapiga P.U.M.BU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...hahahahaaha..kn siku nilialikwa ARUSHA WING ,jamaa walinipa BATA refu asee,big up ARUSHA WINGInawezekana au ndio hali halisi mkuu.....?.....njoo Chugga uone tunavyokula bata......kila siku party........
Ilikuaje Mkuu?Umenikumbusha kipindi cha nyuma nilivokua mgeni JF
Sasa hili nalo la kujisifia humu?mie mpk wengine nimewapiga P.U.M.BU
Achana na huyo mshamba,huyo ndio GENTAMYCINE anawaitaga MAPOPOMA.Sasa hili nalo la kujisifia humu?
Acha tu ushamba mzigo mkuu wanguIlikuaje Mkuu?
Itabidi nifanye hivyo...Ongeza bidii utawafahamu tu
Kweli long live JF imekua kampan yangu kubwa mno,imenipatia marafiki wazuri wastarabu na wenye busara wengine tumekua kama familia sasa.Mimi nafahamiana na baadhi,na wamegeuka marafiki zangu wakubwa sana.
Nawapenda mnooo,kwanza wakarimu,wanajielewa sijui nisemeje.
Wengine huwa nataniana nao humu na kupeana kejeli ila tukitoka hapa ni marafiki wazuri sana.
Na kubwa zaidi hata bae ni wa hukuhuku JF,hihihihiiiiii
Long live JF.
Yani mimi kama sio JF sijui maisha yangu yamekuwaje.Kweli long live JF imekua kampan yangu kubwa mno,imenipatia marafiki wazuri wastarabu na wenye busara wengine tumekua kama familia sasa.
Mazuri tunayopata humu ni mengi kuliko mabaya kwakweli
Aise hebu usichelewe na huo Uzi bibie,ulete kesho basi lolYani mimi kama sio JF sijui maisha yangu yamekuwaje.
Subiri nisiseme sana,ipo siku nitakuja na uzi kuhusu hili mtabaki midomo wazi.
Nawapenda sana mabeste zangu kutoka JF,ni zaidi ya marafiki.
Kubwa huku ni kuwa makini na watu wa kufahamiana nao,katika hili nimefanikiwa kwa 90%!
Hahahaaa..... Hongera Mkuu kwa kujuana nao, kwangu sina hata mmoja ninaemjua zaidi ya jamaa mmoja hivi majuzi kanitumia video whatsapp ndo nikapata kuiona hata sura yake.Acha tu ushamba mzigo mkuu wangu
Nakumbuka siku ya1 kupewa appointment kufika kwenye kikao cha JF members kwanza nikawa na kimuhemuhe,siku hiyo nikaona kama muda haufiki vile
Halafu nikawa najuaga hawa JF wanaishi sayari gani sijui,siku hiyo ilipokaribia mida nikawa kila mara natupia macho eneo la tukio bahati nzuri ni jirani na home. Kila anae ingia najiuliza ndo mmojawapo nini nikawa nabishana na mawazo yangu
Usijali mbona utawaona wengi tu! Mpaka utaona ni kawaida mkuu wangu,mradi umakini tu.Hahahaaa..... Hongera Mkuu kwa kujuana nao, kwangu sina hata mmoja ninaemjua zaidi ya jamaa mmoja hivi majuzi kanitumia video whatsapp ndo nikapata kuiona hata sura yake.
Unakumbuka nilikuambia nini?Duh namjua Bitoz tu
[emoji102] [emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hhahahahahaaa wewe nae unapenda umbea?Aise hebu usichelewe na huo Uzi bibie,ulete kesho basi lol
Napenda sana story mwenzio... He hee mtu asiniahidi story mana nitakavomsumbua mpaka keroHhahahahahaaa wewe nae unapenda umbea?
Usijali,yapo mengi sana na kuandaa hiyo thread inaweza kuchukua mwaka m1-2!!!!
Siwezi kukudanganya kama rubii aliyetudanganya na thread yake ya kufungia mwaka hewa!