Jipu-bishi
Senior Member
- Feb 16, 2016
- 105
- 103
Rubii, tufahamiane basiOngeza bidii utawafahamu tu
Tehe teheee.... Asante Mkuu, naomba nianzie kwako kukufahamu.Usijali mbona utawaona wengi tu! Mpaka utaona ni kawaida mkuu wangu,mradi umakini tu.
Tehe utaniona siku ya sendoffTehe teheee.... Asante Mkuu, naomba nianzie kwako kukufahamu.
Hahahaa.... sendoff ya nani vile!Tehe utaniona siku ya sendoff
Yangu,itakua December 2017Hahahaa.... sendoff ya nani vile!
Basi pouwa bi dada, mda mwingine.Inshallah!
King juliet..... Mzee muongo sana huyuHuyo kwenye Avator yangu anafahamika sana...
Wengine sisi ni madaktari lazima siku utakuja tu kupima tezi dumeKama nitataka kufahamiana na yeyote humu JF basi labda wale wa jukwaa na kimataifa, jukwaa la wakenya na jukwaa la great thinkers.. Ila kenge yeyote wa haya majukwaa ya chini sitaki mazoea nao.. Kenge wakubwa
Hhahahahahaaa wewe nae unapenda umbea?
Usijali,yapo mengi sana na kuandaa hiyo thread inaweza kuchukua mwaka m1-2!!!!
Siwezi kukudanganya kama rubii aliyetudanganya na thread yake ya kufungia mwaka hewa!
Weeeee uliahidi mwaka jana bwana,sio case hata hivyo.He he heeeee Kwani mwaka si ndio kwanza umeanza jamani
Weeeee uliahidi mwaka jana bwana,sio case hata hivyo.
Tulikuwa tunapiga story tu
Mbona mimi nakufahamu wewe[emoji2] [emoji2] [emoji2]Duh namjua Bitoz tu
[emoji102] [emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hahahahaha nitakimbilia US kama JK.. Maana nasikia mlimpania sana mliingize dole kwa zamu zamuWengine sisi ni madaktari lazima siku utakuja tu kupima tezi dume
King Julian... Siyo muongo sema ni mjanja sana... anapenda kumuonea morris... yule Bush baby...King juliet..... Mzee muongo sana huyu