JF members tunafahamiana?

JF members tunafahamiana?

Kama nitataka kufahamiana na yeyote humu JF basi labda wale wa jukwaa na kimataifa, jukwaa la wakenya na jukwaa la great thinkers.. Ila kenge yeyote wa haya majukwaa ya chini sitaki mazoea nao.. Kenge wakubwa
 
Ni namfahamu Ben saanane nimesoma nae. Wengine yeriko na le mutuz on tv
 
Kama nitataka kufahamiana na yeyote humu JF basi labda wale wa jukwaa na kimataifa, jukwaa la wakenya na jukwaa la great thinkers.. Ila kenge yeyote wa haya majukwaa ya chini sitaki mazoea nao.. Kenge wakubwa
Wengine sisi ni madaktari lazima siku utakuja tu kupima tezi dume
 
Hhahahahahaaa wewe nae unapenda umbea?
Usijali,yapo mengi sana na kuandaa hiyo thread inaweza kuchukua mwaka m1-2!!!!

Siwezi kukudanganya kama rubii aliyetudanganya na thread yake ya kufungia mwaka hewa!

He he heeeee Kwani mwaka si ndio kwanza umeanza jamani
 
Back
Top Bottom