Msafiri007
Senior Member
- Jan 26, 2016
- 149
- 81
namfaham mm kumfaham ww itakuwa umbea wako.Sasa ni wa wapi? Inaonekana unamfahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
namfaham mm kumfaham ww itakuwa umbea wako.Sasa ni wa wapi? Inaonekana unamfahamu
Sasa yote haya ya nini?namfaham mm kumfaham ww itakuwa umbea wako.
Ha haaaa sasa utajuaje ni yeye?Wengine sisi ni madaktari lazima siku utakuja tu kupima tezi dume
We rubi hebu leta huo Uzi apaHe he heeeee Kwani mwaka si ndio kwanza umeanza jamani
We rubi hebu leta huo Uzi apa
Tumechoma mahindi mpaka yameungua[emoji16] [emoji16]
wewe nitafanya chini juu nikufahamu maana kukujua itakuwa ngumu.. Nitatumia hata manuva ya kule kwetu TangaHeheheheheeee hata sisi hatutaki kufahamiana na wewe kenge mwenzetu.
vipi imekugusa nn?Sasa hili nalo la kujisifia humu?
Nopvipi imekugusa nn?
safi,mambo vipi lkn
Poasafi,mambo vipi lkn
safi ,mishe zinaendaje huko uliko
Freshsafi ,mishe zinaendaje huko uliko
poa,karibuFresh
Bora tukae bila kujuana aiseeee....Kujuana juana kunaleta mazoea na mazoea ndiyo yanaleta dharau....bora tusijuane...hata na sisi wabeba zege tupate heshima zetu.....
Mkuu....Mimi nawafahamu members 8. Yaani tunajuana vizuri..!!!
yap ndio chanzo cha kufahamiana hikiYou see....[emoji12] [emoji12]
Huku ndiko kufahamiana sasa
Hahahahaaa pole sana,maana hutofanikiwa asilani!wewe nitafanya chini juu nikufahamu maana kukujua itakuwa ngumu.. Nitatumia hata manuva ya kule kwetu Tanga