JF members tunafahamiana?

Heheheheheeee hata sisi hatutaki kufahamiana na wewe kenge mwenzetu.
wewe nitafanya chini juu nikufahamu maana kukujua itakuwa ngumu.. Nitatumia hata manuva ya kule kwetu Tanga
 
Mimi kuna watu wanajifanya kunifahamu fahamu sana humu....nitawacalliba
 
Kujuana juana kunaleta mazoea na mazoea ndiyo yanaleta dharau....bora tusijuane...hata na sisi wabeba zege tupate heshima zetu.....
Bora tukae bila kujuana aiseeee....
Naunga mkono hoja aiseeee....
Hata sisi wa ushirombo tuta heshimika aiseeee.....
 
wewe nitafanya chini juu nikufahamu maana kukujua itakuwa ngumu.. Nitatumia hata manuva ya kule kwetu Tanga
Hahahahaaa pole sana,maana hutofanikiwa asilani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…