Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Kabisa, huku tunaambiwa kuna uhuru lakini ni uongo jitokeze uone polisi watakavyokugeuza uwanja wa mazoezi.Na siasa ndivyo ilivyo hasa hizi nchi za ulimwengu wa tatu.
Wewe uko real we dogo vp wwNi wachache sana wapo really ila wengi deep down ni wanafiki..
Bila kujua maisha hayaendi hivo be really sio mtu wa kutaka kuonekana wa level flan kumbe matatizo matupu..
Kuna wewe kila siku tuna kushauri humu acha pombe na una shaurika vizr tuu..Wewe uko real we dogo vp ww
Pombe nishaacha kitambo mkuu, hapa naiaga agaKuna wewe kila siku tuna kushauri humu acha pombe na una shaurika vizr tuu..
Kumbe deep down huelewi unatuona sisi jau ππππππ
Aaaah wapi πππPombe nishaacha kitambo mkuu, hapa naiaga aga
Imagine leo nimepiga safari moja tuAaaah wapi πππ
Wengi hatuna vyanzo vya taarifa fiche, kukosoa inahitaji uwe na vyanzo mahsusi vya taarifa unazokosoa, halafu wengi humu tunajiturumua tu hatuna uwezo kiushawishi/ fedha mara tu changamoto na dola zitakapojitokea, kuwaiga kina maria, fatma ni ujinga maana wao kwa ground kuna vitu vinawalinda,sasa wewe toka namtumbo huko njoo uvamie watawala wanakupoteza, angalia vijana waloiopotea kina saanane ,wengi background yao hawajatoka familia zenye ushawishi,kupotea ni sekunde tu! Lissu mwenyewe yalimkuta.WHY?
1. Matumizi ya nicknames ili kuficha identities zao while wa akina Maria Sarungi wakitumia taarifa zao halisi Katika account za mitandao yao katika kutema nyongo na kusema ukweli dhidi ya akina Serikali, keybody warriors wanaibuka na kuponda wengne kudharau. sasa tutachange utaratibu kupitia mods tutajuana tu.
2. Tunajua sana kuhamasisha behind of PC,TABLET, PHONES but kwenda kwa ground tunagwaya,this is for both side mana hata Mbowe aliachwa peke yake lakini wapo humu kwa forums kujifanya wanajua sana kuelezea "cowarders' af kwa ground hamna kitu ..
NB. TUACHENI UNAFIKI.
Jina lako nan mbona ww kama mnafikiWHY?