JF Miss CHITCHAT 2012: VOTE for CHARMINGLADY

duuuu...kumbe halii ni hii

umeshampigia kura charminglady??? kama bado kwa heshima na taadhima nakuomba ufanye hivyo. Natanguliza shukrani!!!
 
Eeee,maana nimejaribu option zote za ku vote nimeshindwa! kura yangu ihesabiwe upesi kwa charminglady.
 
Last edited by a moderator:
Eeee,maana nimejaribu option zote za ku vote nimeshindwa! kura yangu ihesabiwe upesi kwa charminglady.

I wish ningepata password yako niweze kuvote kwa niaba...fuata ushauri huo wa Nicas tafadhali...
 
Last edited by a moderator:
Jamani naendelea kuwakumbusha, piga kura yako ya Miss Chitchat kwa charminglady....
 
ukanda huu.....yangu macho

mkuu fanya basi kumpigia charminglady kura...hayo ni maneno tu hata Lema si unaona kayashinda.
Nakuaminia kamanda fanya mambo sasa kabla muda haujaisha!
 
Amepata kura kutoka kwangu, ingawa haionekani hapa lkn nimeshampigia.charminglady
 
Amepata kura kutoka kwangu, ingawa haionekani hapa lkn nimeshampigia.charminglady

thanks again Lisa, you're such a darling....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…