JF- MMU versions

JF- MMU versions

Nina hasira tu na mababu wanaoficha watoto wazuri pm ila nipo, halaf mahondaw nakumbuka miaka ile uliniahidi zawadi, nipatie kabla sijazeeka😛
Hivo Eeeeeh!!!
Duhhhhhhhhhhh nishazeeka mwenzio hata nakumbuka basi.!!
Sikumbuki hata
 
Namkubali sana pia. Wala
Hana makeke
ID nyingi haziko active, wengine wamebadilisha ID na wengine umri Umekwenda na majukumu yameongezeka.

Ile radha ya mmu ya mpaka 2014 imepotea, ukipitia baadhi ya nyuzi kama hizi chini utagundua kuwa ID's nyingi haziko active.

https://www.jamiiforums.com/posts/5323169/

https://www.jamiiforums.com/posts/5077603/

https://www.jamiiforums.com/posts/8046296/

https://www.jamiiforums.com/threads/mfumo-mpya-wa-cheatting-waingia.355162/

Kwa kweli MMU bado hajatokea mtu wa kuziba nafasi ya lara 1 enzi zake.
 
Umeona eeeh!?
Lara kaokoka sikuhizi anaimba mapambio na kukusanya Sadaka kanisani
Siku moja moja shetani akimpanda ndo anakuja hukuu
 
Kweli? Basi mwana wa Adam yu karibu kurudi.
 
Back
Top Bottom