ID nyingi haziko active, wengine wamebadilisha ID na wengine umri Umekwenda na majukumu yameongezeka.Namkubali sana pia. Wala
Hana makeke
Umeona eeeh!?ID nyingi haziko active, wengine wamebadilisha ID na wengine umri Umekwenda na majukumu yameongezeka.
Ile radha ya mmu ya mpaka 2014 imepotea, ukipitia baadhi ya nyuzi kama hizi chini utagundua kuwa ID's nyingi haziko active.
https://www.jamiiforums.com/posts/5323169/
https://www.jamiiforums.com/posts/5077603/
https://www.jamiiforums.com/posts/8046296/
https://www.jamiiforums.com/threads/mfumo-mpya-wa-cheatting-waingia.355162/
Kwa kweli MMU bado hajatokea mtu wa kuziba nafasi ya lara 1 enzi zake.
Kweli? Basi mwana wa Adam yu karibu kurudi.Umeona eeeh!?
Lara kaokoka sikuhizi anaimba mapambio na kukusanya Sadaka kanisani
Siku moja moja shetani akimpanda ndo anakuja hukuu