figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
yangu macho...
Hii kitu ni kwa member wanaotoka mkoa mmoja au Jf kwa ujumla?
Hii kitu ni kwa member wanaotoka mkoa mmoja au Jf kwa ujumla?
Watakao kuwa kundi moja na ..............z Wahesabu maumivu.!
Kila sehemu kuna member wa jf. ni kitu cha kujioganise tu!. Nyie huko mliko fanyeni yenu na sisi huku tufanye yetu. Hii ni jf kwa ujumla. paw bado hajapata kundi. Ntafanya mchakato kujua yamepatikana makundi mangapi. mia
Nimekupata mkuu, sasa huku nilipo sijui kama kuna member wa JF ngoja niorganize.....Kila sehemu kuna member wa jf. ni kitu cha kujioganise tu!. Nyie huko mliko fanyeni yenu na sisi huku tufanye yetu. Hii ni jf kwa ujumla. paw bado hajapata kundi. Ntafanya mchakato kujua yamepatikana makundi mangapi. mia
...ile ya kukutana Ana kwa Ana au Mkoa kwa Mkoa imetushinda Sembu ya Mambo ya Hela?
Ila tujitahidi huenda tukafikia malengo,
Ila kwa Kufuata Miongozo.
Ila tukiwa siriazi tunaweza, tatizo masikhara yamezidi.
Unajua Katavi kuna mda wa Kuchakachua na Muda wa U-serious.
Kama tukilifanyia kazi hli suala nadhani tunaweza kufikia pale tunapopataka.
Ila kwa ushauri wangu naona kama tukiamua kujikusanya group la Dar peke yake au Mwanza pekee tutakuwa wengi.
Tutafute njia m-badala.
Labda tujitenge kimafungu mafungu.
Ni ushauri tu.