JF most influential young 2021; ROBERT HERIEL VS INFANTRY SOLDIER

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Hao magenius wawili ambao ama kwa hakika 2021 wamefanya vizuri kuliko vijana wengi katika suala zima la uandishi wenye tija na maudhui bomba yenye kufikirisha na kubadilisha.wote Wana maarifa makubwa na uwezo wa utambuzi.
Infantry soldier alisema atakuwa nje ya jamvi kwa miezi sita akifuatilia project zake binafsi Ila kaacha maandiko mengi mazuri akirudi meneja Robert mwenyewe lazima achoke.Taikon wa fasihi yeye tupo naye na ndo huyo katuacha na kubwa ya mwaka ya USIMUONEE HURUMA MWANAMKE...wote wasifu zao zinafahamika.

Kura yako unaidondoshea wapi?afadhali tupate mkali mmoja atakayebeba Kura yako Nani Kati ya hawa wawili ana maajabu ya kuzidi kwa mwaka huu 2021 yupi ulimwelewa Zaid.
 
Hapo naona wapo kama kwenye nyaja tofauti licha ya wote kufanya vyema.
Hongera kwa wote.
 
Hawa watu wawili wana ladha tofauti sana katika uandishi wao. Ukiwa mtu wa kupenda simulizi za kubadilishwa badilishwa sarufi na muundo wa maneno, Taikon atakuwa mberee ila kama unataka uchambuzi wa kina na maandishi yanayoumiza akili kuyaelewa basi huyu Jaluo ndio kwake.
 
Askari wa Miguu anajua , ana jibu bila kejeli na kwa ustadi nyuzi zake vilevile zimenyooka .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…