Kwanza hongera fl1...
Sio wanawake wengi wana mawazo kama yako...
Pili usiache kazi ili uende kuanza biashara....
Fanya biashara wakati wa free mpaka ikichanganya ndo uache kazi...
Halafu
chagua biashara zenye risk kidogo...
Nakushauri angalia uwezekani
wa kujenga guest.....au
fuga kuku..........[/QUOTE]
Mitizamo ya namna hii mhhh!!
FL wazo la kuanza biashara ni zuri sana ila lataka maandalizi mazuri.Sijajua uamuzi wako ulisukumwa na nini na umeshajiandaa vipi.
Nashauri usome Kitabu cha
Robert Kiyosaki and Sharon Lechter - Rich Dad Poor Dad na How
to Retire Young and Rich kilichoandikwa na Joseph S. Coyle... hivi vitakupa msukumo na nguvu ya kuanza biashara.
FL achana na biashara za kizamani au zile zinazofanywa na wale akina mama na baba ambao hawakubahatika kwenda shule sana au kuwa exposed kwa ulimwengu wa sasa wa S&T wa utandawazi.Kuna kiongozi mmoja aliwahi kusema Watanzania ni wavivu wa kufikiri.... kwa kiasi alikuwa sahihi..maana kuna kale katabia kakuigana .. jirani kafungua salon na wewe utafungua hiyohiyo...mwingine anafuga basi na wewe utafanya hiyo hiyo. Sasa hivi kila mtu anafungua Boutique, massage palours, bakeries as if hakuna nyingine za kufanya. Kumbe kuna biashara nyingi tu za kufanya.Jihadhari na hili .
In short kama alivyosema Boss hapo juu, usiache kazi kwanza kabla hujaweka msingi wa biashara uitakayo .Kwa maneno mengine weka mipango mizuri ikiwemo na mifumo na taratibu.Take advantage of contacts that you have now while u r employed.Once you are out ..u will be surprised watu watakavyokuwa wanajifanya hawakujui tena ... networks zako nyingi zitayeyuka maana wahusika walikuthamini tu kwa vile ulikuwa na position ambayo waliweza kufaidika.
In short mwanzo can be rough and devastating ila baada ya muda utafurahia uamuzi wako.