Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,491
Habari zenu wakuu. Nipo maeneo ya Muheza town. Kama kuna mdau anayajua maeneo haya, anielekeze chocho moja matata ya kula raha. Si mbaya kama nikipata toto moja ya kitanga ikanikata huu msongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wakuu. Nipo maeneo ya Muheza town. Kama kuna mdau anayajua maeneo haya, anielekeze chocho moja matata ya kula raha. Si mbaya kama nikipata toto moja ya kitanga ikanikata huu msongo.
Nimefikia maeneo ya Michungwani mkuu na nina usafiri binafsi, halafu mshale wa mafuta umesimama. Nipe code.Upo Muheza sehemu gani?
Yaani mpaka hapa sijakuangusha. Wameshalowa kama wawili hivi. Naendelea kudadis.Utuwakilishe vyema mkuu
Magoroto ndo pazuriKama una hela nenda Amani au Magoroto
Magoroto kuna vitugani special.Magoroto ndo pazuri
Mazingira fulani amazing...yaani Kama bustani ya eden..Kama Ushawahi kuuona ule wimbo wa Maua sama na Benpol basi ndio mazingira yale..Magoroto kuna vitugani special.
Angalia the one wa diamond platinumMagoroto kuna vitugani special.
Bwawa juu ya mlimaMagoroto kuna vitugani special.
Ni Jumapili kama jumapili zingine.....
Wengine wanaenda kuabudu.....
Wengine wanaingia shift kazini.....
Wengine wanatafuta totoz za kujogomeja dudu.....
AiseeHabari zenu wakuu. Nipo maeneo ya Muheza town. Kama kuna mdau anayajua maeneo haya, anielekeze chocho moja matata ya kula raha. Si mbaya kama nikipata toto moja ya kitanga ikanikata huu msongo.