Jf Muheza

Jf Muheza

Infopaedia

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
1,231
Reaction score
1,491
Habari zenu wakuu. Nipo maeneo ya Muheza town. Kama kuna mdau anayajua maeneo haya, anielekeze chocho moja matata ya kula raha. Si mbaya kama nikipata toto moja ya kitanga ikanikata huu msongo.
 
Ni Jumapili kama jumapili zingine.....

Wengine wanaenda kuabudu.....
Wengine wanaingia shift kazini.....
Wengine wanatafuta totoz za kujogomeja dudu.....
 
Upo Muheza sehemu gani?
Habari zenu wakuu. Nipo maeneo ya Muheza town. Kama kuna mdau anayajua maeneo haya, anielekeze chocho moja matata ya kula raha. Si mbaya kama nikipata toto moja ya kitanga ikanikata huu msongo.
 
We utakua upo semina..na umefika juzi..haya kula bata jamaa..usitusahau ukirudi.
 
Hatari
Ni Jumapili kama jumapili zingine.....

Wengine wanaenda kuabudu.....
Wengine wanaingia shift kazini.....
Wengine wanatafuta totoz za kujogomeja dudu.....
 
Back
Top Bottom