JF Music Awards 2024: Karibu uwajue washindi wa tuzo hizi za muziki

JF Music Awards 2024: Karibu uwajue washindi wa tuzo hizi za muziki

Londonboi

Member
Joined
May 5, 2024
Posts
40
Reaction score
56
Hello!

Leo ndio ile siku ya kujua wasanii waliofanya vizuri katika tasnia ya muziki Tanzania kwa mwaka 2024.
Tuzo hizi zimeandaliwa na wanachama wa jf ku represent jukwaa letu hili la jamii.

Washindi wa vipengele mbalimbali wamepatikana kutokana na utafiti na ukusanyaji wa maoni mbalimbali kutoka kwa wadau na wasikilizaji wa mziki Tanzania.

Hivyo tuzo hizi ni fursa kwa Wanajamii forum mwakani kuja na tukio halisi la utoaji wa tuzo hizi, hii ni pamoja na kutoa fursa kwa wadau mbalimbali kuwekeza kwenye tuzo hizi ili zije kuwa kubwa kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla.

Bila kupoteza muda, tuone washindi wetu katika vipengele mbalimbali.

Screenshot_20241224-154055.jpg


1. MSANII BORA WA KIUME AFRIKA KWA 2024.
Washindani kwenye nafasi hii walikuwa ni;
a) Black Sherif
b) Davido
c) Mr. Eazi
d) Diamond Platinum
e) Burna boy
f) Mr. P
g) RJ Kanierra

Na mshindi kwa kipengele hicho ni: DAVIDO

2. MSANII BORA WA KIKE AFRIKA 2024
Washindani walikuwa ni;
a) Qing Madi
b) Ayra Star
c) Yemi Alade
d) Tiwa Savage
e) Tems
f) Tyla
g) Sho Madjozi

Na mshindi ni: TIWA SAVAGE

3. WIMBO BORA WA MWAKA AFRIKA KUTOKA KWA MSANII WA KIUME
washiriki walikuwa ni:
a) Away by Davido
b) Higher by Burna boy
c) Shut up by Black Sherif
d) Tshwala bam by TitoM, Yuppe ft Burna Boy
e) Marhaba by Kizz Daniel
f) Winning by Mr. P
g) Azaman by Rema
h) Lela by RJ Kanierra
i) Komasava by Diamond Platinum

Na mshindi wa wimbo bora wa mwaka Afrika ni TSHWALA BAM ya TITOM, YUPPE FT BURNA BOY

4. WIMBO BORA WA MWAKA AFRIKA KUTOKA KWA MSANII WA KIKE
Na washiriki ni;
a) Tomorrow by Yemi Alade
b) American love by Qing Madi
c) Commas by Ayra star
d) Kilimanjaro by Tiwa Savage
e) Love me JeJe by Tems
f) Kadigong by Sho Madjozi
g) Water by Tyla

Na mshindi wa wimbo bora wa mwaka Afrika kutoka kwa msanii wa kike ni WATER by Tyla.

5. WIMBO BORA WA GOSPEL KUTOKA KWA MSANII WA KIKE
Washindani walikuwa ni nyimbo zifuatazo;
a) Huniachi by Rehema Simfukwe
b) Mungu mmoja by Bella Kombo ft Evelyn Wanjiru
c) Nipe number by Rose Muhando
d) Jehovah by Angel Bernad
e) Ni Mungu ametaka by Matha Mwaipaja

Ni mshindi ni wimbo wa MUNGU MMOJA wa BELLA KOMBO

6. NYIMBO BORA YA GOSPEL KUTOKA KWA MSANII WA KIUME
Na nyimbo zilizoingia kwenye kinyang'anyiro ni;
a) Ni wewe by Stewart Mwakasege ft Obby Alpha
b) Nitaamini by Israel Mbonyi
c) Niokoe by Obby Alpha
d) Nafasi by Paul Clement ft Bella Kombo
e) You got me by Joel Lwaga
f) Sijawahi ona by Walter Chilambo

Na mshindi ni wimbo wa YOU GOT ME by JOEL LWAGA

7. MWANAMUZIKI BORA AFRIKA MASHARIKI
Waliopo kwenye kinyang'anyiro ni;
a) Kaligraph John
b) Marioo
c) Mr. Bien
d) Diamond Platinum
e) Otile Brown
f) Bluce Melody
g) Harmonize

Na mshindi katika kipengele hicho ni msanii DIAMOND PLATINUM kutoka Tanzania.

8. MSANII BORA WA KIKE TANZANIA 2024.
Washindani katika kipengele hiki ni;
a) Maua Sama
b) Zuchu
c) Nandy
d) Lulu Diva
e) Saraphina

Na mshindi ni ZUCHU kutoka WCB

9. MSANII BORA WA KIUME BONGO FLEVA
Washindani katika kipengele hiki ni;
a) Jux
b) Harmonize
c) Diamond Platinum
d) Mario
e) Ali Kiba
f) Barnaba Classic
g) Mbosso

Na mshindi ni msanii HARMONIZE

10. MSANII BORA WA KIUME MIONDOKO YA RAP
Na washindani ni wasanii wafuatao;
a) Young Lunya
b) Darassa
c) G Nako
d) Moni Centrozone
e) Fid Q
f) Fido Vato
g) Roma Mkatoriki

Na msanii bora miondoko ya rap Tanzania ni DARASSA.

11. WIMBO BORA WA BONGO FLEVA;
Na washindani ni nyimbo zifuatazo;
a) 2025 by Marioo ft Stan
b) Nisiulizwe by Jux
c) Ujana by Harmonize
d) Nibusu by Barnaba Classic ft Yammi
e) Baridi by Jay Melody
f) Hatare by Ali Kiba ft Jay Melody

Na mshindi wa wimbo bora wa bongo fleva ni wimbo wa NIBUSU wa msanii Barnaba Classic ft Yammi

12. WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA BONGO FLEVA
Na washiriki katika kipengele hiki ni;
a) 2025 by Marioo ft Stans
b) Hatari by Ali Kiba ft Jay Melody
c) Mapozi by Diamond Platinum ft Jay Melody & Mr. Blue
d) Usemi sina by Nandy ft Harmonize
e) Far away by Geniusjini x66 ft Jay Melody

Na mshindi ni wimbo wa HATARI WA ALI KIBA FT JAY MELODY.

13. WiMBO BORA WA AMAPIANO
a) Mbinguni by Fid Q ft Chino kid
b) Ova by Mbossokan
c) Ololufe Mi by Jux ft Diamond Platinum
d) Fallen angel by Ali kiba ft Billnass
e) Siji by Zuchu
f) Komasava by Diamond Platinum
g) Hakuna matata by Marioo

Na mshindi ni wimbo wa HAKUNA MATATA wa Marioo

14. WIMBO BORA WA AMAPIANO WA KUSHIRIKIANA
Washindini ni miziki ifuatavyo
a) Mwakitale by Chino Kid ft Rich Mavoko
b) Ololufe mi by Jux ft Diamond Platinum
c) Wenyewe Maboss by Billnass ft Jux
c) Komasava by Diamond Platinum ft Jason Derulo
d) Fallen angel by Ali kiba ft Billnass
e) Disconnect by Harmonize ft Marioo
f) Sensema by Rayvany ft Harmonize

Na mshindi ni wimbo wa OLOLUFE MI wa JUX FT DIAMOND PLATINUM
 
15. WIMBO BORA WA HIP HOP 2024
a)Target by Fido Vato ft Chidi benz
b) Information by Darassa
c) Grory by Fid Q ft Gifted
d) Freestyle session 6 by Young Lunya
e) Nitasema by Nay wa Mitego
f) Formula by Joh Makini ft Jay Melody
g) Yule by AY ft Marioo
h) Nasikia Harufu by Roma Mkatoriki ft Chidi Benz

Na Msindi ni wimbo wa FREESTYLE SESSION 6 by YOUNG LUNYA

16. WIMBO BORA KUTOKA MSANII WA ZAMANI (YUPO KWENYE GAME ZAIDI YA MIAKA 15)
Na washindani ni nyimbo zifuatazo;
a) Calling by Professa Jay ft Ali kiba
b) Yule remix by AY ft Marioo
c) Formula by Joh makini ft Jay Melody
d) Sacrifice by Gnako
e) Moccasin by J Mo ft Country wizzy
f) Hatari by Ali kiba ft Jay melody
g) Grory by Fid Q ft Gifted

Na msindi ni wimbo wa FORMULA wa JOH MAKINI ft JAY MELODY & BIEN

17. MSANII BORA WA SINGELI
Na wafuatao ni washindani katika kipengele hiki;
a) Mzee wa Bwax
b) Meja Kunta
c) Sholo Mwamba
d) Dulla Makabira
e) Miso Misondo
f) Balaa Mc

Na mshindi ni SHOLO MWAMBA


18. WIMBO BORA WA SINGELI
Nyimbo bora za singeli zilizoingia kwenye kipengele hiki ni;
a) Wivu by Dj Mushizo ft Baddest
b) Tera ghata by Misso Misondo
c) Tuzo by Dulla Makabila
d) Goma la mwisho by Sholo Mwamba
e) Hassan by Menja kunta

Na mshindi wa singeli bora ni TERA GHATA ya MISSO MISONDO

19. MSANII BORA KWENYE UWEKEZAJI NA BIASHARA
Na washindani katika kipengele hiki ni;
a) Ali Kiba
b) AY
b) Diamond Platinum
c) Sugu
d) Marioo
e) Harmonize
f) Jux

Na mshindi ni DIAMOND PLATNUMZ

20. VIDEO BORA YENYE WIMBO BORA
Na wafuatao ni washindani kwenye kipengele hiki;
a) Komasava by Diamond Platinumz
b) Hakuna matata by Marioo
c) Nibusu by Barnaba Classic
d) Dharau by Ibra ft Harmonize
e) Kunguru by Mbosso
f) Ololufe mi by Jux

Na mshindi ni video ya wimbo wa DHARAU WA IBRA FT HARMONIZE

21. MSANII MPYA KWENYE MZIKI MWENYE MUENDELEZO BORA.
Wafuatao ni washindani katika kipengele hiki;
a) Jaiver
b) Chino kid
c) Vanilla
d) Yammi
e) Jay Melody
f) Misso Misondo

Na mshindi katika kipengele hiki ni CHINO KID

22. LEBO BORA YA MUZIKI TANZANIA
Lebo zifuatazo zipo kwenye kinyang'anyiro hiki;
a) WCB chini ya Diamond Platinum
b) King's Music chini ya Ali Kiba
c) Wanaman gang chini ya Chino kid
d) Konde gang chini ya Harmonize
e) NLM chini ya Rayvany

Na mshindi wa lebo bora ni KING'S MUSIC chini ya ALI KIBA

23. TUZO YA HESHIMA KWA MSANII MKONGWE MWENYE MCHANGO MKUBWA KWENYE MZIKI WA TANZANIA.
Na tuzo hii imeenda kwa PROFESA JAY Wamituringa.
 
Lile dude la sicheki na wowote mbona silioni .Tutuzo twa mchongo hutu.Vinginevyo lipachike kipengele chochote hapo juu.Namaliza kwa kusema " nakupa mapenzi ,ukanipa ushenzi,ngongongo"
Oiiii.
 
Lile dude la sicheki na wowote mbona silioni .Tutuzo twa mchongo hutu.Vinginevyo lipachike kipengele chochote hapo juu.Namaliza kwa kusema " nakupa mapenzi ,ukanipa ushenzi,ngongongo"
Oiiii.
Wivuuuuuu 😅😅😅😅 marejesho kausha damu, anampaka CV anakuwa madam
 
  • Nzuri
Reactions: EEX
Nimeishia namba 9 uliposema et harmonize ni msanii bora mwaka huu
 
Ngoja na mimi nichangie tu chochote kitu kwenye huu uzi, hata kama sielewi kinachoendelea.
 
Hivi kuna msanii anaitwa Bluce Melody kama mleta mada alivyoandika halo juu?
 
Back
Top Bottom