JF MUSIC AWARDS: Upi wimbo bora wa mwaka 2024 kutoka kwa wasanii wa kurap Tanzania?

JF MUSIC AWARDS: Upi wimbo bora wa mwaka 2024 kutoka kwa wasanii wa kurap Tanzania?

Upi wimbo bora wa mwaka 2024 kutoka kwa wasanii wa kurap Tanzania? piga kura

  • Target by Fido Vato ft. Chid benz

    Votes: 1 8.3%
  • Calling by Profesa Jay ft. Ali kiba

    Votes: 0 0.0%
  • Freestyle session 6 by Young Lunya

    Votes: 0 0.0%
  • Grory by Fif Q ft. Gifted

    Votes: 1 8.3%
  • Formula by Joh Makini ft. Jay melody

    Votes: 1 8.3%
  • Mazoea by Darassa ft. Harmonize

    Votes: 3 25.0%
  • Nitasema by Nay wa mitego

    Votes: 2 16.7%
  • Yule by AY ft. Mario

    Votes: 1 8.3%
  • Nasikia harufu by Roma mkatoriki ft. Chid benz

    Votes: 2 16.7%
  • Information by Darassa

    Votes: 1 8.3%

  • Total voters
    12
  • Poll closed .

Londonboi

Member
Joined
May 5, 2024
Posts
40
Reaction score
56
Screenshot_20241125-122502.jpg

Karibu kwenye kipengele hiki kizito cha upi wimbo ulio bora na umefanya vizuri kwa wasanii wetu wa kurap Tanzania. Piga kura ili tumpate mshindi. Tuzo za Tanzania huwa zinalalamikkiwa kwa kukosa uwazi, sasa hizi atakeyekuwa na kura nyingi ndie ataibuka mshindi.
Malengo siku moja, sisi wanachama na viongozi wa JF tuje tuandae tamasha moja kubwa la kutoa tuzo kwa wasanii wote watakao kuwa wameshinda kwenye kinyang'anyiro hiki.
 
Nobody knows tomorrow
Jana ghetto
Mbonji ya kigodoro
Kula yenyewe mgogoro
Shabala baghala ndombolo ndombolo
Nobody knows tomorrow
Nobody is perfect
Tunatoana kasoro
Nyuma danger mbele kiza totolo
Shabala baghala ndombolo ndombolo
I don't care where you came from...

Darassa - I don't Care
Chukua kombe lingine mezani hilo
 
Ninachomaanisha huu uzi bila Darassa ni Uzi batiri, ngoja yule Mod bingwa wa kufuta uzi zisizo na vigezo aje kuufuta mara moja, Mod mfuta uzi upo wapi Muda huu?
Jamaa upo siriaz kweli, mbona darasa yumo kwenye list au unataka nyimbo zake tu ndo zijae hapo?
Mpigie kura
 
Back
Top Bottom