#DARASSASinza mitaa ya ndani ndani
Si ndio akatokea Shabani namjua
Shebby anasuasua
Shebby anauchubua
Kumbe
Huku anakwenda km
Pasta Joshua
Darassa - Mind Your Business
Chukua kombe
#DARASSAUsipolala maaacho
Hauna chako umeuawa
Ukiki mbia bato
We sio komando ni kawadi
Umeiacha bahari
Umezoea kuoga kwenye Bwawa
Kwenye Bwawa?
Darassa - Information
Chukua kombe lingine
Jamaa upo siriaz kweli, mbona darasa yumo kwenye list au unataka nyimbo zake tu ndo zijae hapo?Ninachomaanisha huu uzi bila Darassa ni Uzi batiri, ngoja yule Mod bingwa wa kufuta uzi zisizo na vigezo aje kuufuta mara moja, Mod mfuta uzi upo wapi Muda huu?
Weka na hizo nyimbo nilizoweka nizipigie kura fastaJamaa upo siriaz kweli, mbona darasa yumo kwenye list au unataka nyimbo zake tu ndo zijae hapo?
Mpigie kura
Sasa tuzo zitakuwa ni za darassa pekee, halafu kumbuka ni nyimbo za mwaka 2024Weka na hizo nyimbo nilizoweka nizipigie kura fasta
Information ya Mwaka huu imetoka JanuariSasa tuzo zitakuwa ni za darassa pekee, halafu kumbuka ni nyimbo za mwaka 2024
Tayari mkuuInformation ya Mwaka huu imetoka Januari
Haya niwekee Information pale juu nipige kura fasta
Aaawe nishapiga kura hapo basi nimeona mkuuTayari mkuu
Shukran sanaAaawe nishapiga kura hapo basi nimeona mkuu
Hahaha dabliyuu dabliyuu dabliyuu download applicationDarassa ni a kul gai
Vote kwa Jina 😃😍