Endangered
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 922
- 231
Hahaahahaaaa njaa inaumaaaaaa chinja usichinjeeee Nyauuuuuuuuuuuzi wa aina hii upo, ngoja wataalamu waje watupie link.
Mie nilijiita hivi maana napenda liwa.
uzi wa aina hii upo, ngoja wataalamu waje watupie link.
Mie nilijiita hivi maana napenda liwa.
Huyu anapenda vyoteunapenda kuliwa wewe? Sio kumung'unywa?
Usermame yangu inamaanisha mambo mawili kwanza inamaanisha my name na pili aisee nitaeleza badae ngoja kwanza nivute pumzi.
unapenda kuliwa wewe? Sio kumung'unywa?
hivi nyama inaliwa au inamung'unywa??
hivi nyama inaliwa au inamung'unywa??
hivi nyama inaliwa au inamung'unywa??
am charming as my username. . .
kizoleo chenyewe hakichagui chochote kinazolewa tu!