b52 kitu ya kivita inayotisha na iliyotisha sana Iraq........
Kombora moja tu lazma mtafutane
OTIS
Soma signature inajieleza.
Usermame yangu inamaanisha mambo mawili kwanza inamaanisha my name na pili aisee nitaeleza badae ngoja kwanza nivute pumzi.
Cantalisia a.k.a mama mancho a.k.a Mrs Salvado Sorinza,
Km ni mfuatiliaji wa tamthilia basi hili jina halitakua geni kwako,
Ni jina la mwanadada mwigizaji alishiriki kwenye tamthilia iliyojulikana km second chance (El Cuerpo del Deseo)
Nilitokea kumpenda sana yeye na kazi yake na ndio maana nikaamua kutumia jina lake.
Kuna memba nimeona anatumia picha ya LULU km avatara yake simkumbuki anatumia ID gani!hivi hakuna LULU HUMU?
Tripo9, Nilijiunga JF tar 9, mwez wa 9, mwaka 2009
Amepewa access ya kutumia huko selo, au labda ni Public Relation Officer wake.Kuna memba nimeona anatumia picha ya LULU km avatara yake simkumbuki anatumia ID gani!
Sawa Jabiri BA'Ukiondoa ba
mimi ni brigedia jeneral jwtz,chezeya huone