Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Hii imekaa kikatili sana.If you don't hear from us consider your application unsuccessful
ILi utupige ban.Hii mbona sikuiona ningeomba na mimi š
If you don't hear from us 3weeks after deadline consider your application unsuccessfulNataka kujua hili kwani mwezi huu wa 6 mwanzoni mlitangaza nafasi za kazi ikiwemo nafasi ya msimamizi wa maudhui (Content manager), Mimi nilijaribu kuomba hii nafasi lakini sikupata mrejesho wowote na muda umeshapita
Nilitaka kufahamu kwamba mlishaita watu kwenye usaili ama mmeshawapa ajira
Au na nyie mpo kama taasisi nyingine kwamba bila mchongo (connection) hutoboi au mlikuwa na watu wenu maalumu, nilitamani kupata feedback yoyote kuhusiana na hili jambo
Naombeni majibu hapa, kwa afya na ustawi wa JF
Mapema tu š¤£ILi utupige ban.
Mkuu adi uku unafikagašPSRS tuwape maua yao...mfumo wao wa ajira portal umekaa kizungu sana...
Ukiwa shortlisted unaambiwa
Ukiwa ' not shortlisted ' unaambiwa na reason...
Watu wameshaanza hadi na kazi, wewe unaulizia feedback?Nataka kujua hili kwani mwezi huu wa 6 mwanzoni mlitangaza nafasi za kazi ikiwemo nafasi ya msimamizi wa maudhui (Content manager), Mimi nilijaribu kuomba hii nafasi lakini sikupata mrejesho wowote na muda umeshapita
Nilitaka kufahamu kwamba mlishaita watu kwenye usaili ama mmeshawapa ajira
Au na nyie mpo kama taasisi nyingine kwamba bila mchongo (connection) hutoboi au mlikuwa na watu wenu maalumu, nilitamani kupata feedback yoyote kuhusiana na hili jambo
Naombeni majibu hapa, kwa afya na ustawi wa JF
Nipo namaliza bando langu tu...kila siku nasubir pdf ambazo hazitokiMkuu adi uku unafikagaš
Bila shaka washampa mwongozo