Jf ya zamani ilikua na michango ya maana sana, uzuri historia hazifutiki search thread za miaka hiyo 2008 huko watu walikua wanamichango ya kujenga sana...... Hata kama kulikua na masikhara ila ustaarabu ulizingatiwa.Hivi ni kweli jf ya sasa na ya zamani ni tofauti sana kama tunavyoelezwa na nyie wakongwe au ni mtazamo tu?
Unamtag vipi mtu na nawezaje kum-ignore member ni hayo tu mhenga wa jfJe una swali?
Je una changamoto yoyote?
Je kuna ufafanuzi unahitaji?
Karibu hapa wakongwe wakuhudumie.. Si kila kitu tuwasumbue moderators mengine tunaweza kusaidiana hapa hapaView attachment 3140087
Tofauti ipo.Hivi ni kweli jf ya sasa na ya zamani ni tofauti sana kama tunavyoelezwa na nyie wakongwe au ni mtazamo tu?
Oky bro, tunaweza kuthubutu kusema JF inastawi kwa sasa? maana imesha pitia hizo hatua za kuzaliwa na kukua.Kila kitu kina maendeleo yake kuanzia kuumbwa/kuzaliwa/kuanzishwa .. Kukua kustawi