Pney08
Member
- Jun 22, 2019
- 64
- 37
Hbr zenu wanajf
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea
Aisee
Ni muda sasa (sijui ni mm tu au na wenzangu) nikigoogle vitu vingi vinatokea vya JamiiForums
Let’s say umegoogle kuhusu ajira sijui mapenZi, stories n.k basi lazima Zije thread za jf
Muda kidogo, nilikua napenda sana stories Za humu ndani na wachangiaji mada jinsi wanavyochangia (bado napenda haswa nyuzi za laura/lora kama sijakosea na za ninjamaster
Mwaka huu nikaona na mm nijiunge kabisa nisipitwe[emoji4]
Ila kinachonikera
Navyoona kama wakongwe wanachangia mada za wakongwe wenzao (wahenga)
Unakuta thread ina wiki ina comments 2, ila thread ya mkongwe kapost 2hrs ago ina comments 200
Ni hayo tu...