JF ni tamu kama ngono

Kwa maana hiyo, wale wanaouana hawajawahi kufahamu kuwa kuna utamu zaidi ya ile sehemu moja wanayoifikiria wapo? Au huwa wanajiwehusha?
Wananogewa na utamu unapitiliza mpaka kwenye kope
 
Mhhhhhh hivi hakuna kitu kingine chenye thamani ya utamu zaidi ya ulichokianisha mtoa mada?
Ngoja na mie nilale sasa niwaachie popoz JF yao

Vingine vipo vingi tu kama ugali dagaa, acha kabisa.
 
Nashukuru hii hali imeaanza kupotea maana nilikuwa si tulii kabisa..
 
Wengine ndo mchana, halaf ukiwa nchi za watu ndo unaijua vizur value ya jf, sababu kila mtu na tyme zake.
 
Korean series dear,na hanging out with bae!
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

Hahahaaaa! Mie hizo za kikorea zimenishinda kabisaaaa sijui kwanini, by the way mpe hi sana, umemficha wapi jamani, kapotea sana.
 
Yupo shougah ila kwa huku JF?
Mhhhh sijui atarudi lini kwakweli.
 
Yupo shougah ila kwa huku JF?
Mhhhh sijui atarudi lini kwakweli.

Hata wewe umeadimika mnoo, jf yenyewe siku hizi haina hata mzuka tena, i miss thoz days aisee daaah!! Mpe hi sana.
 
Umeona atoto eeh?Enzi zile ukiikosa JF unahisi kuumwa,siku hizi hamna kitu kabisa.
Hunizidi mimi,I miss those days vibaya sana.
Sawa mamito ake.
 
Yaani ilikuwa ikitokea ushindwe kuingia unahisi kuumwa, siku hizi zinaweza hata zikapita siku nne yaani walaaaa hata hustuki kama kuna jf, wakati mwingine hadi uone notifications labda ndio unaingia, daah!
 
Kila kitu hupitia hatua hizi katika maisha
Kuzaliwa
Kukua
Kushamiri
Kuvuma
Kuzoeleka
Kuzeeka
Kufa
Na hatimaye kusahaulika na kubaki tu kwenye vitabu vya kumbukumbu... Naiombea JF maisha marefu
 
Khaah unaiombea maisha marefu ili uzidi kututisha? We kalumanzila jamani sio mtu mzuri.
 
Hahahhaa mwaka mpya na mambo mapya atoto....! Nimeacha kabisa ile kazi hata msata Leo sikwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…