Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kitafikia ngono utam, watu tunahonga hadi nyumba kisa ayo mambozzzMhhhhhh hivi hakuna kitu kingine chenye thamani ya utamu zaidi ya ulichokianisha mtoa mada?
Ngoja na mie nilale sasa niwaachie popoz JF yao
Mhhhhhh hivi hakuna kitu kingine chenye thamani ya utamu zaidi ya ulichokianisha mtoa mada?
Ngoja na mie nilale sasa niwaachie popoz JF yao
Umeona eeh?Kila mtu ana 'kitamu' chake.Vingine vipo vingi tu kama ugali dagaa, acha kabisa.
Ukikipenda kitu ni ugonjwa mbaya sana hutasikia la mnadi swala wala la muadhini ni full kudata... Huambiliki.... husikii... Hushikiki... Hukamatiki!!!
Ni sawa na ulevi wa bangi, ulevi wa Mpira, ulevi wa pombe, ulevi wa umbea ati kusutwa sunna... View attachment 313681
Usiku huu hujalala ati unapost... Wee mwanga??? Ati unareply na kulike... Kumbuka kesho job na mahabuba anakusubiri hapo pembeni..muendeleze uumbaji na kupoza tamaa za mwili na roho!, Keshategesha.... Jifanye hamnazo kisa JF!! Asilimia 49 itakuhusu... Mi simo acha nifanye yangu.....!!!
Umeona eeh?Kila mtu ana 'kitamu' chake.
Umeona eeh?Kila mtu ana 'kitamu' chake.
Korean series dear,na hanging out with bae!Eti wewe kitamu chako ni nini? Mi thi nimeulidha tu!😀😛
Korean series dear,na hanging out with bae!
😛😛😛😛
Yupo shougah ila kwa huku JF?Hahahaaaa! Mie hizo za kikorea zimenishinda kabisaaaa sijui kwanini, by the way mpe hi sana, umemficha wapi jamani, kapotea sana.
Yupo shougah ila kwa huku JF?
Mhhhh sijui atarudi lini kwakweli.
Umeona atoto eeh?Enzi zile ukiikosa JF unahisi kuumwa,siku hizi hamna kitu kabisa.Hata wewe umeadimika mnoo, jf yenyewe siku hizi haina hata mzuka tena, i miss thoz days aisee daaah!! Mpe hi sana.
Umeona atoto eeh?Enzi zile ukiikosa JF unahisi kuumwa,siku hizi hamna kitu kabisa.
Hunizidi mimi,I miss those days vibaya sana.
Sawa mamito ake.
Umeona atoto eeh?Enzi zile ukiikosa JF unahisi kuumwa,siku hizi hamna kitu kabisa.
Hunizidi mimi,I miss those days vibaya sana.
Sawa mamito ake.
Kila kitu hupitia hatua hizi katika maishaYaani ilikuwa ikitokea ushindwe kuingia unahisi kuumwa, siku hizi zinaweza hata zikapita siku nne yaani walaaaa hata hustuki kama kuna jf, wakati mwingine hadi uone notifications labda ndio unaingia, daah!
Kila kitu hupitia hatua hizi katika maisha
Kuzaliwa
Kukua
Kushamiri
Kuvuma
Kuzoeleka
Kuzeeka
Kufa
Na hatimaye kusahaulika na kubaki tu kwenye vitabu vya kumbukumbu... Naiombea JF maisha marefu