Hahahhaa mwaka mpya na mambo mapya atoto....! Nimeacha kabisa ile kazi hata msata Leo sikwenda
Jamani atoto X-shee kwa nani tena? Nisijekuwa nimepigwa kibuti cha kimya kimya...!!!Mmmh umeacha matisho yale umekuja na matisho mapya ya kuchanganya rangi, sasa huu mchanganyiko ambao ushatokea hakuna tena kuchanganya rangi maana ishachanganyika hata asili hazijulikani tena, teh teh teeeh nasubiri next tisho my ex shemeji kalumanzila.
Kumbuka ulisema umeacha matisho, so just relax.Kama kweli kafanya haya..! Ngoja kupambazuke...!!!
Tena with supersonic speed
Ninacho cha akiba ukitaka niambie takupa buuureee