JF ni tamu kama ngono

JF ni tamu kama ngono

Hahahhaa mwaka mpya na mambo mapya atoto....! Nimeacha kabisa ile kazi hata msata Leo sikwenda

Mmmh umeacha matisho yale umekuja na matisho mapya ya kuchanganya rangi, sasa huu mchanganyiko ambao ushatokea hakuna tena kuchanganya rangi maana ishachanganyika hata asili hazijulikani tena, teh teh teeeh nasubiri next tisho my ex shemeji kalumanzila.
 
Jamani atoto X-shee kwa nani tena? Nisijekuwa nimepigwa kibuti cha kimya kimya...!!!
 
Hahahaaaaa! Mdogo wangu alichoka kuota makitu ya ajabu usiku kwa matisho yako hivyo akaamua abwage manyanga, kumbe hiki kibuti wewe hukupewa taarifa? sumbai kakuzidi kete bwana kavuta kaweka ndani kabisa.
 
Mungu wangu sumbai huyu huyu aliyekuwa anataka nimfundishe kupaa au mwingine???
 
@mshanajr hio inawaathiri zaidi mliopo huko Tanzania
 
Remote haishindi ughaibuni, nina ushuhuda katika hili! Ninaposafiri nje ya Tanzania the only favourite thing n my best company ni JF
 
Back
Top Bottom