JF NI ZAIDI YA GOOGLE SEARCH

JF NI ZAIDI YA GOOGLE SEARCH

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
Nimekubali jf kiboko acha niifagilie yaani kila kitu ukiweka unahitaji msaada au elimu ukirusha tu unapata mawazo ya wadau tofauti hadi tatizo lako linapata ufumbuzi.hiyo ndo jamii forum bana big up.kama huna akaunt ya jf fungua uone utavofaidika kwa mawazo ya watu
Naomba wadau tuchukue ht dkk 5 kushukuru wenye blog tutakuwa wachoyo wa fadhila tusipowashukuru
 
Hahahaa walioiona hi comment woooote wana jf....coz umeileta ndan ya jf....
 
kanilenga hadi kanipasulia screen siku nyingine usirushe mawe hivyo aisee
 
fikiria zaidi kuhusu google , ....
 
mtuma post nae jipu sasa anawalenga wana jf alaf anasema wafungue acaunt jf
 
Back
Top Bottom