Nadhani wamekuelewakabla ya huu mfumo mpya nilikuwa na likes zaidi ya 1500. ulivyokuja huu mfumo nikajikuta zimebaki 0 ilhali posts na likes nilizotoa zikibaki vilevile. JF sitaki ugomvi na nyie, ninachotaka ni likes zangu tu π
Kwikikwi...Mimi nilikuwa na likes kama 3000 wakaziondoa zote..nilianza upya..inauma sanakabla ya huu mfumo mpya nilikuwa na likes zaidi ya 1500. ulivyokuja huu mfumo nikajikuta zimebaki 0 ilhali posts na likes nilizotoa zikibaki vilevile. JF sitaki ugomvi na nyie, ninachotaka ni likes zangu tu π
Hiyo avatar yake imeniacha hoi..Hahahaha [emoji23] pole aisee
Watakurudishia
Labda tatizo profile picture
InaudhiiiiiiiiKwikikwi...Mimi nilikuwa na likes kama 3000 wakaziondoa zote..nilianza upya..inauma sana
Mkuu mbona zipo 1010.,kabla ya huu mfumo mpya nilikuwa na likes zaidi ya 1500. ulivyokuja huu mfumo nikajikuta zimebaki 0 ilhali posts na likes nilizotoa zikibaki vilevile. JF sitaki ugomvi na nyie, ninachotaka ni likes zangu tu π
kabla ya huu mfumo mpya nilikuwa na likes zaidi ya 1500. ulivyokuja huu mfumo nikajikuta zimebaki 0 ilhali posts na likes nilizotoa zikibaki vilevile. JF sitaki ugomvi na nyie, ninachotaka ni likes zangu tu π
Kwani lazima uko-comment kila thread..??Hebu changanya akili zako, JF ya babako? Be humble au chapa lapa.
Kwani lazima uko-comment kila thread..??
Jinga kabisa.