JF nirudishieni likes zangu.

JF nirudishieni likes zangu.

Jamii forum moods hatutaki ugomvi na nyie acheni kutubania maneno yetu.

Rudisheni neno Vi.la.Za. mbona bwana mkubwa analitumiaga ata wale wanafunzi wa kile chuo waliitwaga Vi..la. ZA.
 
kuna vitu havina faida ila watu vinawaumiza vichwa hebu nenda instagram kama unazitaka hzo likes
 
Mkuu inabidi uwe mpole tu. Huu uzi naimani kesho utakuwa umepigwa kufuli.
 
kabla ya huu mfumo mpya nilikuwa na likes zaidi ya 1500. ulivyokuja huu mfumo nikajikuta zimebaki 0 ilhali posts na likes nilizotoa zikibaki vilevile. JF sitaki ugomvi na nyie, ninachotaka ni likes zangu tu 😕
Kwikikwi...Mimi nilikuwa na likes kama 3000 wakaziondoa zote..nilianza upya..inauma sana
 
kabla ya huu mfumo mpya nilikuwa na likes zaidi ya 1500. ulivyokuja huu mfumo nikajikuta zimebaki 0 ilhali posts na likes nilizotoa zikibaki vilevile. JF sitaki ugomvi na nyie, ninachotaka ni likes zangu tu 😕
Mkuu mbona zipo 1010.,

Umewapiga biti wakakurudishia..
 
kabla ya huu mfumo mpya nilikuwa na likes zaidi ya 1500. ulivyokuja huu mfumo nikajikuta zimebaki 0 ilhali posts na likes nilizotoa zikibaki vilevile. JF sitaki ugomvi na nyie, ninachotaka ni likes zangu tu 😕

Hebu changanya akili zako, JF ya babako? Be humble au chapa lapa.
 
Back
Top Bottom