JF nirudishieni likes zangu.

JF nirudishieni likes zangu.

Wavulana wa dar mna kazi mnangangania likes heeeeh
 
Nnavyojipinda hivi kumbe wakiamua wanazichukua tu!!!

Acha nihamie kusoma vitabu tu ambavyo sitaporwa content kichwani.
 
Jamii forum moods hatutaki ugomvi na nyie acheni kutubania maneno yetu.

Rudisheni neno Vi.la.Za. mbona bwana mkubwa analitumiaga ata wale wanafunzi wa kile chuo waliitwaga Vi..la. ZA.
Kawasemee kwa baba baba Jeska
 
Back
Top Bottom