Jf nzito hii: Hatimaye yule member maarufu kapotea kama upepo chiii!

Sielewi elewi mkuu...wadada wa mjini wameniambia nifungue code. Nitazijulia wapi sasa.
hizi ndio code

 
Aiseeee!!!
USA, UGOGONI,USHUANI,BAMIA, KINYEREZI ESTATE, DOWNTOWN JIJI LA MTOTO WA BABA.....
MJE MNIPIME MKOJO.........LE KING
 
Na utapimwa lini?
Aiseeee!!!
USA, UGOGONI,USHUANI,BAMIA, KINYEREZI ESTATE, DOWNTOWN JIJI LA MTOTO WA BABA.....
MJE MNIPIME MKOJO.........LE KING
 
Na utapimwa lini?
Wakinihitaji Tu wapimaji kutoka jijini hawatanichelewesha kojo lote mali yao....
Le mbebezi umeshatoka The Hunt Club?
Nimepamiss hapo kitaa ngoja Baba jeska afanye nyongeza ya mshahara japo Kwa ahadi Tu siku ya mei dei nije nijipongeze na wamabaka mabaka hapo.....
 
Uzuri ni kwamba huwezi kuwaona wanawake smart katika huu uzi.

Waliojaa kwenye uzi huu ni.
Jobless
Low iq
Desperate &
Ni malaya wa kutupwa.

Wanaume mnaosutana humu nimekosa kundi la kuwaweka
Mi niweke kundi B .Afu ivi mtu smart ndo yukoje ivi kumbe tunaonana live.
 
Hizo verse ngumu kumeza, sijaelewa I'm the young thinker.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…