JF Party Jumamosi 15/12/2018

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Habari zenu wana JF.

Nimeweka huu Uzi kuwakumbushia siku zinazidi kuyoyoma na michango inasua sua.
Mpaka sasa tumepokea michango ya members 21 na sisi lengo letu ilikua watu 50 at least kutokana na venue tuliyoichagua.
Hivyo nawakumbusha wale wote wenye nia ya kushiriki nasi siku ya jumamosi tarehe 15/12/ 2018 African House Lounge kuchanga mapema ili tujue Kama tunachange venue au tunaendelea hapo hapo kutokana na idadi ya watu.


Mchango ni shilingi 30,000/=
Mchango kwa ajili ya party hiyo itumwe kwenye namba zifuatazo;
Tigo-pesa.
0716-394882 jina May
NA
M-Pesa
0756-986874 jina Mwanahawa Hassan

Kwa maelezo zaidi kuhusu Party pitia hapa kuna kila kitu JF-get together party Disemba 2018 - JamiiForums
 
Ukisoma huo uzi the hype ni kubwa sielewi kwanini wachangiaji wanasuasua.

This should tell "us" kwamba asilimiakubwa ya watu wa JF pang'ang'a nyingi sana.
Hata mie sielewi tatizo ni nini.. Sidhani huo upang'ang'a labda wanataka kujua nani na nani atakuwepo. Si unajua wakati mwingine MTU anahamasika akiona Fulani yupo..
 
MMMH TUSIJE KUSANYWA KAMA KUKU BANDANI
Manake wasiojulikana wakikuteka na kukupa sharti la kufa au kubakwa aisee lazima kila mtu atataja ID yake na passcode hapo hapo
Anyway ngoja tuone kwanza upepo unavyokwenda
 
Hahahaha. Mods watakuwepo mkuu. Ofisi ya JF itashiriki nasi siku hiyo. Nadhani kutakuwepo na nafasi ya kufikisha mawazo na kero zetu kwa uongozi wa JF live siku hiyo
Mkuu, kero na malalamiko fikisha jukwaa la complaints huko ni bata pekee!
 
MMMH TUSIJE KUSANYWA KAMA KUKU BANDANI
Manake wasiojulikana wakikuteka na kukupa sharti la kufa au kubakwa aisee lazima kila mtu atataja ID yake na passcode hapo hapo
Anyway ngoja tuone kwanza upepo unavyokwenda
Labda waje watuteke wote mkuu.. Hapo watafanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…