Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataharibu party ...Uje na Swaleh
Kumbe wewe unatujulia wabongo eti?Naamini bado kuna wale wazee wa "Deadline", hadi siku ikaribie, zile purukushani ndo hao fastaaaa. Wataongezeka tu
Pole mkuu nimeona asee...Ila umejua kuhandle situation[emoji122]Wit acha tu nicheke, maana kwanza alinifanya nikaambulia matusi ya kila aina. eti siku 90 hatakiw kuongea na simu, halafu kesho yake yuko jukwaaani anatukanana na member!!!
Hahaha, hapo ili uwahi inabidi usisikilize issue za Wema Sepede wala Hamisa Mobede, au Daimondede.
Unamskia tuu huyu dogoHahahahaaa
Niliwaomba mods wafunge ule uzi, na bahati nzuri ni wasikivu wakaufunga.Pole mkuu nimeona asee...Ila umejua kuhandle situation[emoji122]
Next tym uwe makini sasa
Hahahaaa. Maana kuweza kulogin jf tu ndio uzima huo witLabda ngoja atujibu[emoji15]
Birthday ni jana yake itakuwa 14/12. Cake situmiagi isiwepo.. Please hide my IDKama itakua ni siku ya birthday yako na ukiwa tayari tutakujia na cake mkuu
Kumbe wewe unatujulia wabongo eti?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] asee kweli HajarHahahaaa. Maana kuweza kulogin tu ndio uzima huo wit
Ndo umeandika vinini mchumba?
Hahaha asee Spac Dawg anawaharibu machalii maana ndio faza wa ngaleloo
Yeah tena hao Ndo wanakuaga wengi.. Wanasubiri Mwisho wa siku Ndo wanatoa
Hahahaahaaaa.. We mkorofi eeh. Hance hataki kabisa kusikia hii kituNiliwaomba mods wafunge ule uzi, na bahati nzuri ni wasikivu wakaufunga.
Unajua yale ma sms yake ndio nilikuwa siyaelewi.
Enewei tuachane naye, tusiharibu uzi wetu wa sherehe.
Naomba Hance Mtanashati akichangia Mzigua90 uniambie nina shida naye🙄🙄🙄
Anaitwa Papaa Mafido.. Ndio yule jamaa wa "Hapa nimevaa ka laki tatu, hii sio swaga, swaga ni bongo, hii ni old skul"Kuna clip moja ya jamaa wa Arusha alihojiwa BSS ndo alitumia hiyo misamiati ya chaliifrancisco.
Iko kwa Millardayo.