JF Party Jumamosi 15/12/2018

JF Party Jumamosi 15/12/2018

Wit acha tu nicheke, maana kwanza alinifanya nikaambulia matusi ya kila aina. eti siku 90 hatakiw kuongea na simu, halafu kesho yake yuko jukwaaani anatukanana na member!!!
Pole mkuu nimeona asee...Ila umejua kuhandle situation[emoji122]

Next tym uwe makini sasa
 
Pole mkuu nimeona asee...Ila umejua kuhandle situation[emoji122]

Next tym uwe makini sasa
Niliwaomba mods wafunge ule uzi, na bahati nzuri ni wasikivu wakaufunga.
Unajua yale ma sms yake ndio nilikuwa siyaelewi.
Enewei tuachane naye, tusiharibu uzi wetu wa sherehe.
Naomba Hance Mtanashati akichangia Mzigua90 uniambie nina shida naye🙄🙄🙄
 
Hahahaahaaaa.. We mkorofi eeh. Hance hataki kabisa kusikia hii kitu
 
Kuna clip moja ya jamaa wa Arusha alihojiwa BSS ndo alitumia hiyo misamiati ya chaliifrancisco.

Iko kwa Millardayo.
Anaitwa Papaa Mafido.. Ndio yule jamaa wa "Hapa nimevaa ka laki tatu, hii sio swaga, swaga ni bongo, hii ni old skul"
IMG-20181014-WA0010.jpeg
 
Back
Top Bottom