Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Ratiba ikikaa vizuri tu........
Uje bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uje bwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa si wana jf watakuona na ndo mwanzo wa kukufahamuUkinifahamu wewe tu inatosha.. Siku hiyo tunajifanya hatujuani [emoji23]
Dada pasua kichwa njoo nataka nikuone ulivyo![emoji16][emoji16][emoji16]Ratiba ikikaa vizuri tu........
Chura zitakuwepo zakutosha nimeshapata confirmation kutoka kwa event organizers. [emoji3][emoji3]Dada pasua kichwa njoo nataka nikuone![emoji16][emoji16][emoji16]
Haha haya toa mchango kwanza, ndo tuongee vizuriDada pasua kichwa njoo nataka nikuone![emoji16][emoji16][emoji16]
Tuma mchangoNtakuwepo
🙂🙂🙂🙂 kumbe ndio alivyo huyu Heaven Sent ?Dada pasua kichwa njoo nataka nikuone![emoji16][emoji16][emoji16]
Ili ukampasue kichwa...😳Haha haya toa mchango kwanza, ndo tuongee vizuri
Wiki ijayo tangaza tiketi zimebaki kumi na hamuongezi idadi uone matokeo.Habari zenu wana JF.
Nimeweka huu Uzi kuwakumbushia siku zinazidi kuyoyoma na michango inasua sua.
Mpaka sasa tumepokea michango ya members 21 na sisi lengo letu ilikua watu 50 at least kutokana na venue tuliyoichagua.
Hivyo nawakumbusha wale wote wenye nia ya kushiriki nasi siku ya jumamosi tarehe 15/12/ 2018 African House Lounge kuchanga mapema ili tujue Kama tunachange venue au tunaendelea hapo hapo kutokana na idadi ya watu.
Kwa maelezo zaidi kuhusu Party pitia hapa kuna kila kitu JF-get together party Disemba 2018 - JamiiForums
Party ya watu wazima sio komunio ya kwanza. Usiku.Inafanyika usiku mchana?
Itabidi tu. Ila jamaa ananionea, mimi pasua kichwa?Ili ukampasue kichwa...😳
BehaviouristItabidi tu. Ila jamaa ananionea, mimi pasua kichwa?
Natuma muda si bado!Tuma mchango
Mbona inawezekana sana tu kubaki Anonymous.Watu wanaogopa kujulikana eti
😱😱 nichangie basi na Mimi nikashangae.Party ya watu wazima sio komunio ya kwanza. Usiku.
Zimebaki nafasi 30 pekee + nafasi 12 special zinabaki 18.Natuma muda si bado!