Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asitoe,Hajatoa bado
Nitakutumiaa,Alisema atashiriki anasubiri Mchango wako tu
mmmhNilipie tu ze dudu!!ntakuwepoo!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kujitbulisha ndo nini?...mmh!
mmmh
Ya voda
Pamoja mkuu[emoji120]Kujitambulisha, sorry typing error
ntachanga, nije nikuone mziguaHabari zenu wana JF.
Nimeweka huu Uzi kuwakumbushia siku zinazidi kuyoyoma na michango inasua sua.
Mpaka sasa tumepokea michango ya members 21 na sisi lengo letu ilikua watu 50 at least kutokana na venue tuliyoichagua.
Hivyo nawakumbusha wale wote wenye nia ya kushiriki nasi siku ya jumamosi tarehe 15/12/ 2018 African House Lounge kuchanga mapema ili tujue Kama tunachange venue au tunaendelea hapo hapo kutokana na idadi ya watu.
Mchango ni shilingi 30,000/=
Mchango kwa ajili ya party hiyo itumwe kwenye namba zifuatazo;
Tigo-pesa.
0716-394882 jina May
NA
M-Pesa
0756-986874 jina Mwanahawa Hassan
Kwa maelezo zaidi kuhusu Party pitia hapa kuna kila kitu JF-get together party Disemba 2018 - JamiiForums
asante sana mkuu, yani huu uzi ndio nmeuona leo for the first time, I hope tomorrow nitatuma mchangoKaribu mkuu
asante sana mkuuKaribu Sana boss
Hapo umenenaNitakuja iwe jua iwe mvua na Mods nanyi mjeni tuwape madhaifu yenu.
Uzuri kwenye party hamtanipiga ban.