JF Party On My Mind

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Nimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.

UPDATE

Tumeshaarrange kila kitu kuhusu party kama date, location, dress code, Mchango na kila kitu.
Madame B atakuja na Uzi kuelezea mchakato mzima.

Mambo ni hiviiiiiii
 
Walioandaa zilizopita washabwaga manyanga. Kazi kwenu sasa kizazi kipya jipangeni muandae,hamna ugumu wowote ni muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…