Meona eeeh!...mi mpaka niwe nakujua na nimekuzoea!Ndo yale ya umekunywa vyangu nilipe kumbe hujaomba hata
Nilivyokuaga mjamzito nlikuaga nakunywa safari. Mpaka nimejifungua miezi sita ya mwanzo nakunywa tu. Siku ilinipa hangover nikaachana nayo hapo. Sema bia zote zinaleta kitambi. Toka niachane na bia na katumbo kanapungua punguaKitambi, hangover ya jehanam, harufu mbaya mdomoni, na lile povuuu daaah!....mi hapana asee
Huo ndo utakuwa ushamba wa mtoa ofa aiseeNdo yale ya umekunywa vyangu nilipe kumbe hujaomba hata
Kuna wadada safari huwaambii kitu....mi navyokunywaga hivi vi wine vyangu kuna mashost huwa wananicheka eti naendekeza uduu[emoji23] [emoji23] ...nipige vitu vikali daaah[emoji15]Nilivyokuaga mjamzito nlikuaga nakunywa safari. Mpaka nimejifungua miezi sita ya mwanzo nakunywa tu. Siku ilinipa hangover nikaachana nayo hapo. Sema bia zote zinaleta kitambi. Toka niachane na bia na katumbo kanapungua pungua
Siku hiyo dodoma tumekaa wadada wanne na mkaka mmoja. Sasa yule mkaka akawa yuko busy busy mafisi yakajua tuko wenyewe. Saa ngapi tusijaziwe pombe mezani. Kuuliza zimetoka wapi ndo yule kaka akashtuka. Kumbe zimetoka kwa wanajeshi na hao wanajeshi ukinywa hata bia yao moja wanakubeba kwa lazima. Alifukuzwa yule muhudumu kama mbwa na pombe zake. Japo tuaingezinywa ila kubebwa kisa pombe inatisha sana.Meona eeeh!...mi mpaka niwe nakujua na nimekuzoea!
Uogopi kunywa huku una kijacho?Nilivyokuaga mjamzito nlikuaga nakunywa safari. Mpaka nimejifungua miezi sita ya mwanzo nakunywa tu. Siku ilinipa hangover nikaachana nayo hapo. Sema bia zote zinaleta kitambi. Toka niachane na bia na katumbo kanapungua pungua
Nishaachana na bia zote nahisi. Heineken yenyewe kuiacha ilikua kazi. Sasa hivu walaa siitamani. Alhamis nimejaribu Budweiser nako hamna kitu. Ntabaki kwa wine pombe kali na cocktail tuKuna wadada safari huwaambii kitu....mi navyokunywaga hivi vi wine vyangu kuna mashost huwa wananicheka eti naendekeza uduu[emoji23] [emoji23] ...nipige vitu vikali daaah[emoji15]
Kazi ya offer hiyo[emoji15] [emoji15] ...Siku hiyo dodoma tumekaa wadada wanne na mkaka mmoja. Sasa yule mkaka akawa yuko busy busy mafisi yakajua tuko wenyewe. Saa ngapi tusijaziwe pombe mezani. Kuuliza zimetoka wapi ndo yule kaka akashtuka. Kumbe zimetoka kwa wanajeshi na hao wanajeshi ukinywa hata bia yao moja wanakubeba kwa lazima. Alifukuzwa yule muhudumu kama mbwa na pombe zake. Japo tuaingezinywa ila kubebwa kisa pombe inatisha sana.
me ndio vitu vyangu hivyo sipendi kuamka na hangover thats why nipo upande huu ..hard drinks mara mojamoja saaaaana tena sababu ya kampaniPenasol nimezoea ya box tu. Nilikaaga na ule mbox wa litre 5. yakawa kama maji yangu ya kunywa
Cocktails nazo naonaga miyeyusho tu ...yaan ni no stimu sijui kwa ajili ya barafu zile[emoji15]Nishaachana na bia zote nahisi. Heineken yenyewe kuiacha ilikua kazi. Sasa hivu walaa siitamani. Alhamis nimejaribu Budweiser nako hamna kitu. Ntabaki kwa wine pombe kali na cocktail tu
hahah... mimi nimeizoea sana naiona kawaida tu ila white siyo kama red ile red ndiyo inakuwaga na radha strong kimtindoPenasor mkuu? ...chungu hiyoo
Unakunywa pombe huku una kiumbe ndani.Nilivyokuaga mjamzito nlikuaga nakunywa safari. Mpaka nimejifungua miezi sita ya mwanzo nakunywa tu. Siku ilinipa hangover nikaachana nayo hapo. Sema bia zote zinaleta kitambi. Toka niachane na bia na katumbo kanapungua pungua
Inategemea na aina ya cocktail. Nyingine hata bila barafu unakunywa fresh kabisa. Nikienda sehemu staji kulewa nakunywaga cocktail tuCocktails nazo naonaga miyeyusho tu ...yaan ni no stimu sijui kwa ajili ya barafu zile[emoji15]
Duuuh umezoea bas...red zote wine wanaongezaga ulevi huwa zinalewesha kuliko whitehahah... mimi nimeizoea sana naiona kawaida tu ila white siyo kama red ile red ndiyo inakuwaga na radha strong kimtindo
ππππ umenikumbusha enzi nipo chuo ilikuwaga kilevi chochote napeleka as long as kimethibishwa na tbs nilikuwa mlevi hadi hostel wakanitunga jina la ritchot ..nilirudi home nimekonda kama msomali maana nilikuwa napiga vitu vikal alafu sili vizurMi chochote kinachopita kwenye koo poa tuu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]