JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Kuna watu huku wanatongozaga watu wasio wajua Mara siku hyo anashtukia kumbe alikua anampiga saund mama mkwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ishu sio kwamba atamtambuaje shida ni kwamba harder king anaingia eneo LA tukio anakuta wote waliomo wame muover age na anatakiwa kutoa ad shikamoo wakubwa!!![emoji125] [emoji125] [emoji125]
Na hyo party ikifanywa December sipati Picha wale madogo wa 4m4 wanaojiungaga Leo na kutafuta mpenz jf siku hyo hyo! Patakua patamu mno.
Hahahahhaaa..
 
Nimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.

Mimi nitakuja only kama wewe Mzigua90 utanigea ile kitu kisha tuende ku party all night long.
 
Kuna watu huku wanatongozaga watu wasio wajua Mara siku hyo anashtukia kumbe alikua anampiga saund mama mkwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ishu sio kwamba atamtambuaje shida ni kwamba harder king anaingia eneo LA tukio anakuta wote waliomo wame muover age na anatakiwa kutoa ad shikamoo wakubwa!!![emoji125] [emoji125] [emoji125]
Na hyo party ikifanywa December sipati Picha wale madogo wa 4m4 wanaojiungaga Leo na kutafuta mpenz jf siku hyo hyo! Patakua patamu mno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka kwa sauti mkuu
 
Back
Top Bottom