Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee huku ndani ndani kabisa na wewe utapanda lakini? ??Dege la Taifa linatua kila kona,.
Raha ya Party ujilipie mwenyewe kila kitu.Jamani, si party munafurahi au ?
Enhe.Etiii
Ok mwanangu.Naomba unicheck pm kama hutaji mpenzi..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkeka wako kwangu utachanika mapema sana.Mikeka itachanika siku hiyo niamini mimi
Hahahahhaaa..Kuna watu huku wanatongozaga watu wasio wajua Mara siku hyo anashtukia kumbe alikua anampiga saund mama mkwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ishu sio kwamba atamtambuaje shida ni kwamba harder king anaingia eneo LA tukio anakuta wote waliomo wame muover age na anatakiwa kutoa ad shikamoo wakubwa!!![emoji125] [emoji125] [emoji125]
Na hyo party ikifanywa December sipati Picha wale madogo wa 4m4 wanaojiungaga Leo na kutafuta mpenz jf siku hyo hyo! Patakua patamu mno.
Mkuu usicheke njoo na suluhisho.Hahahahhaaa..
Duh nilivyokuwa kafupi si mnaweza kufungua kichwa changu na opener mkijua ni Savanah..Jiandae kabisa
Nimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.
Me ntakuwepo kukulaki[emoji3]Aiseee huku ndani ndani kabisa na wewe utapanda lakini? ??
Si ndo hapo?Kwani tunawanunulia Bia sisi au kila mtu analewa kwa hela yake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka kwa sauti mkuuKuna watu huku wanatongozaga watu wasio wajua Mara siku hyo anashtukia kumbe alikua anampiga saund mama mkwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ishu sio kwamba atamtambuaje shida ni kwamba harder king anaingia eneo LA tukio anakuta wote waliomo wame muover age na anatakiwa kutoa ad shikamoo wakubwa!!![emoji125] [emoji125] [emoji125]
Na hyo party ikifanywa December sipati Picha wale madogo wa 4m4 wanaojiungaga Leo na kutafuta mpenz jf siku hyo hyo! Patakua patamu mno.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hata km ,ila ukijichanganya ujue hawanywi matapu tapu yetu haya,ya ilala mchikichini, mataa chang'ombe