JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Wooow!! Nimefurahi kusikia kuna wazo la kulaunch party ya namna hii... We only live once..let's gooooo guys!

Party, drinks and foods zinaenda pamoja kama Shehe na ubwabwa vile.. Personally huwa naamini food is the another way of celebrating life na kwa vile Nina background ya culinary and Italian cuisine from one of the very prestigious university in the world.. I promise kama nitahudhuria hiyo party nitawaandalia na nitawapikia food moja murua na matata sana inaitwa "Carbonara" ni Italian cuisine hii, dish hii iko deceptively simple but with classy, yaani ingredients zake baadhi ni spaghetti, eggs, pecorino cheese, cured guanciale, and black pepper, najua nikiwatolea good version ya hii menu trust me I will make your day and the party will be forever remembered.

Hapo sijazungumzia Lasagna na Ribbolita these are heart food from Italy ninazomudu kuzitoa catalogue zake kwa uzuri wa kutosha tu. Ndio maana hadi kuna member humu namuonaga anajiita Beef Lasagna atakuwa anaujua utamu wa lasagna from Italy.

Zote hizi nitawapikia bure bila gharama zozote. Trust me we gonna have a party of a lifetime. Hoja imepita nadhani muhimu ni kila mmoja kuvolunter kwenye section anayoimudu... Tutengeneze once in a lifetime event. JF get together party.

N;B Nimeweka na picture za kazi zangu za upishi casual wa nyumbani tu for more clarification.View attachment 862361View attachment 862362
Kwa style hiyo nami nitakuja nile vinono kwakweli lols
 
Nimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.
Naona mambo za Bata Batabani....tehteehh
Nimejikuta nawakumbuka baadhi ya member tulio kutana miaka uleeeeee wakati tunapeleka chochote kitu pale Muhimbili.
Cc: Mtambuzi
 
Back
Top Bottom