witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
KwakweliNdiyo uendelee kutumia hizo wine, huku utuachie sisi[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwakweliNdiyo uendelee kutumia hizo wine, huku utuachie sisi[emoji3]
kwa stone utaacha kabisaSiku hizi maisha yananikaba nimepunguza kabisa..
Kigamboni zipo nyingi akitulia atapata kama atapenda kufanyia huko.Umenikumbusha tulifanya beach house moja na mtoto wa kigogo ,kigamboni
Hapo parkchonjo ndo kunafaa sasa ..Kuna sehemu kama packchonjo ni pazuri , na maeneo ya karibu na hapo kuna beach house zingine...wanaruhusu mnapika..mnaenda na vinywaji...na wahudumu wapo...ila ni mbaliii
Wazo zuriTunaweza andaa usafiri. Hela si itachangwa bwana. Huko huko tunatoa na ya usafiri. Watu wanakuja mpaka feri wakivuka upande wa pili kunakua na coaster ya kuwaletea eneo la tukio.
Mbali panaitwaje huko?? maana mbali sana napo sio.
Km ni beach house natoa hata jiwe kadhaaKigamboni zipo nyingi akitulia atapata kama atapenda kufanyia huko.
Hivi yale maghorofa yanaitwa AVIC TOWN ehee?? mbele ya huko.Mbali panaitwaje huko?? maana mbali sana napo sio.
Relax! Wewe tena best!... That day kabla wengine hawajaonja wewe utakuwa wa kwanza... Maana Nina hamu hata nikuone tu and the easiest way ni kumtafuta witnessj kama nampa dish vile kumbe nataka nikuone tu. [emoji16][emoji176]Hii misosi mbona nimeitamani ghafla[emoji36] [emoji36]
teh teh teh unajua hata vile vitu situmii ndio maana wamenipa kitengo cha fedha
Wewe si ni muandaaji jamani, ndiyo utaleta mrejesho wa hivyo vitu.Mimi au sisi mkuu? si party letu wote hili?
Yaani ni mbali wakati naenda nikawa nawaza safari ya kurudi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko mbali haswaaa.. tungepata karibu karibu kidogo hata
Fanya hima upate kitengo kipenzi maana hii si ya kukosa.Nitaanzaje kukataa ukisema twende kipenzi. Hapa nipo natafuta kitengo cha kuchangisha pesa ya hii party
Nilishaendaga huko imefika saa nne mwenyeji anaenjoy tu kupiga story na mimi wakati nimempanga bby mjini. Kigamboni ingegawanywa tu PwaniYaani ni mbali wakati naenda nikawa nawaza safari ya kurudi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]