Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Yes ila mara chache sana hapa nina miezi sijagusa.You also drink?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes ila mara chache sana hapa nina miezi sijagusa.You also drink?
Yes...... Savanna/ heneiken/ Windhoek hazisumbui tumbo!Watumiaji wake wengi wamehamia kwenye Savannah.
Kutupikia ingependeza tupate beach house tukapike huko. Tukikodi eneo kama escape one tutakosa huu utamu mkuuWooow!! Nimefurahi kusikia kuna wazo la kulaunch party ya namna hii... We only live once..let's gooooo guys!
Party, drinks and foods zinaenda pamoja kama Shehe na ubwabwa vile.. Personally huwa naamini food is the another way of celebrating life na kwa vile Nina background ya culinary and Italian cuisine from one of the very prestigious university in the world.. I promise kama nitahudhuria hiyo party nitawaandalia na nitawapikia food moja murua na matata sana inaitwa "Carbonara" ni Italian cuisine hii, dish hii iko deceptively simple but with classy, yaani ingredients zake baadhi ni spaghetti, eggs, pecorino cheese, cured guanciale, and black pepper, najua nikiwatolea good version ya hii menu trust me I will make your day and the party will be forever remembered.
Hapo sijazungumzia Lasagna na Ribbolita these are heart food from Italy ninazomudu kuzitoa catalogue zake kwa uzuri wa kutosha tu. Ndio maana hadi kuna member humu namuonaga anajiita Beef Lasagna atakuwa anaujua utamu wa lasagna from Italy.
Zote hizi nitawapikia bure bila gharama zozote. Trust me we gonna have a party of a lifetime.
N;B Nimeweka na picture za kazi zangu za upishi casual wa nyumbani tu for more clarification.View attachment 862361View attachment 862362
Mimi zinaniabishiaga ila kitandani tu. Nikishaingia ndani ndo network inakata yote. Huku nje inaweza ikakata ila mtu asijue kabisa..Mi nikiendaga sehemu hakuna freixenet, Robertson mbadala unakuwa hizo savanna na nikianza sitaki ninywe tena tofauti na hiyo! Haya mapombe inabidi uwe mjanja kucheza nayo! La sivyo yatakuaibisha tuu!
Hakuna pombe nisizoweza kama hizi chungu chungu .....heineken sijui ...whisky ....siwezi yaan mtu akinywa najiuliza anameza vipi.Mi nikiendaga sehemu hakuna freixenet, Robertson mbadala unakuwa hizo savanna na nikianza sitaki ninywe tena tofauti na hiyo! Haya mapombe inabidi uwe mjanja kucheza nayo! La sivyo yatakuaibisha tuu!
hahahahaha
nimepewa kitengo cha kukusanya michango tafadhari nimeanza na wewe hata kama hutotokea
NB: mchango wako muhimu sana ili kufanikisha
Hapo naweza Savannah tu hizo zingine nashindwa hata robo simalizi[emoji23][emoji23][emoji23]Yes...... Savanna/ heneiken/ Windhoek hazisumbui tumbo!
Yaan kiufupi imported zote hazina noma labda pombe kali na yenyewe ukizidisha inakupa warning!
Kunywa mataputapu ya hapa sasa uone kama hakuna siku haujajinyea[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]( povu kama loote)
Mazoea tuu...mi vitu vichungu namimi vinanizingua!Hakuna pombe nisizoweza kama hizi chungu chungu .....heineken sijui ...whisky ....siwezi yaan mtu akinywa najiuliza anameza vipi.
Savanna unakunywa ngapi?Hapo naweza Savannah tu hizo zingine nashindwa hata robo simalizi[emoji23][emoji23][emoji23]
teh teh teh unajua hata vile vitu situmii ndio maana wamenipa kitengo cha fedhaAliyekupa hicho cheo kakosea sana yaani wewe jamaa mhhh hope pombe hazipandi mpaka kufikia kuchukia mikate huku ukiona ni uharibifu wa ngano ya kutengenezea bia[emoji23]
Sure kuwe na privace fulani hivi.Kutupikia ingependeza tupate beach house tukapike huko. Tukikodi eneo kama escape one tutakosa huu utamu mkuu
Ha ha ha mwingine konyagi.Mazoea tuu...mi vitu vichungu namimi vinanizingua!
Hakuna kitu nashangaa kumuona mdada kashika safari lager anashusha kooni asee[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]
Huwa sizidishi nne, nikifika hapo maji yananihusuSavanna unakunywa ngapi?