JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Kuna sehemu kama packchonjo ni pazuri , na maeneo ya karibu na hapo kuna beach house zingine...wanaruhusu mnapika..mnaenda na vinywaji...na wahudumu wapo...ila ni mbaliii
Mbali panaitwaje huko?? maana mbali sana napo sio.
 
Kuna sehemu kama packchonjo ni pazuri , na maeneo ya karibu na hapo kuna beach house zingine...wanaruhusu mnapika..mnaenda na vinywaji...na wahudumu wapo...ila ni mbaliii
Hapo parkchonjo ndo kunafaa sasa ..
 
Tunaweza andaa usafiri. Hela si itachangwa bwana. Huko huko tunatoa na ya usafiri. Watu wanakuja mpaka feri wakivuka upande wa pili kunakua na coaster ya kuwaletea eneo la tukio.
Wazo zuri

Kwa vile kigamboni maskani nitawasaidia kuwaunganisha na wenye usafiri.
 
kwa stone utaacha kabisa
Wala sio stone kwani nanunua mie mama. Kazi mtoto vinanikaba. Kipindi niko mwenyewe nilikua na muda. Sasa hiv nikiweka box ntakuta mwanangu kafungua kibomba anakunywa juice
 
Back
Top Bottom